Like Serious πKuna jamaa pale juu amesema eti afadhali hizo za Mtera,nikamuuliza alishawahi kuona korongoni kulivyo??
Zote tu ni hatari..kitonga juzi Kati Kama si mwaka jana basi ni Mwaka juzi,bus liliporomokea huko chini na hakuna aliyekufa.
Weka na wewe tuoneNa picha
Muhimu jibu liwe Yes you do then hayo mengine utajichagulia pa kwenda.Pyramids baadae baadae kidogo. Maldives panafaa zaidi kuanzia ππ
Ndo hapo sasa namuambia afanye fasta, nichukue hiyo 4n
Wee bibi harus matashtiti had michepuko ya shemela ikufe kwa hamaki lol [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bibi harusi na hekaheka wapi na wapi[emoji23][emoji23][emoji23]
Hiyo ni nini Madame ??
Picha auHiyo ni nini Madame ??
Ndiyo, it looks like the same sex kissing each other.Picha au
Kama tumeambizana!! Karibuuu
Ndiyo, it looks like the same sex kissing each other.Picha au
Sitaki ugomvi na watu[emoji3][emoji3][emoji3]Weka picha [emoji16][emoji16]
Umeiamsha minyoo yangu ya njaa tumboni.
Asante wajina wa babu yangu ππKama tumeambizana!! KaribuuuView attachment 1679036
Mi ntakutetea π πΎββοΈπ πΎββοΈπ πΎββοΈ
Karibu!!!!Umeiamsha minyoo yangu ya njaa tumboni.
Fanya kunitumia inbox nami nishibe ππ
kua gay na kua proud na ugay wako lazima uwe kinyamana....mkuu kwenye ishu ya ushoga na kujivunia ushoga wako naomba usilete vipengele vya biblia.....Mkuu acha kumuita mwenzio kinyamana
Ni dhambi, binadamu wote ni sawa regardless ya mapungufu na madhambi tunayoyatenda.