Ndiyo hapo Nyamanoro auMkuu idadi ya Kona huo mlima Iringa -dom (wanauitaje jina limenitoka) huwezi linganisha na kitonga.
Acha kabisa,mlima una Kona zaidi ya 50[emoji119]
Tena Kona kali,kitonga haoni ndani.
Kuhusu kuchochora inakuwa Mungu tu aingilie Kati..usiseme eti Bora uchochore huko Mtera kuliko kitonga,,hivi kule chini korongoni umewahi chungulia vizuri kweli???na panachukua muda mrefu Hadi kuzimaliza zile Kona.
Mungu asaidie home kwenu kusiwe MbeyaIla kitonga napo pana kisanga mmmh, nikiwa nasafiri kwenda home au kutoka home kuja huku, nikifka kitonga nakua mpolee na kusali San.
Selikali iangalie namna gan itarekebisha pale, kuepusha adha kwa wanachi wake.
ila kote Kuna hatari Sana kitonga pale kila dereva Yuko Makini ni ni nadra kukuta ajaliChache[emoji848]
Acha utani wewe
Hii ipo kihonda ?
Ipo mjini kati, sijui ndiyo wanaita Uhuru Street. Ninavyokumbuka unaingilia barabara ya NMB Wami, then unanyoosha mbele kidogoI guess so mkuu, sio mwenyeji kivile
yes Kama maeneo hayo nayajuaIpo mjini kati, sijui ndiyo wanaita Uhuru Street. Ninavyokumbuka unaingilia barabara ya NMB Wami, then unanyoosha mbele kidogo
Une chill dea [emoji7][emoji7][emoji342] #IfNotNowWhen?View attachment 1678896
[emoji23][emoji23][emoji23] siku hyo wee mwenyewe utakuwa ktk heka heka, ukijikwaa je?[emoji38]
Kwan kila anayepita kitonga ni mtu wa mbeya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu asaidie home kwenu kusiwe Mbeya
eeeh home kwenu wapi??
Km unapita GM HOTEL, pale c panaitwaa DON TOWN?Ipo mjini kati, sijui ndiyo wanaita Uhuru Street. Ninavyokumbuka unaingilia barabara ya NMB Wami, then unanyoosha mbele kidogo
Hahahhaaha haki you two....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mungu asaidie home kwenu kusiwe Mbeya
eeeh home kwenu wapi??
Kwan kila anayepita kitonga ni mtu wa mbeya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo stress utakuja kufa bureeh, afu kwa mambo yasiyokuhusu.
Dunia laini, ugumu unauleta wee. Home kwetu hapakuhusu
Poleeeeeeh.
huyu jamaa anakuaje gay then proudly kabsa....angekua wa mbeya huyu ningeenda malawi niitwe Gerald kamunzu Banda tuu....Hahahhaaha haki you two....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Km unapita GM HOTEL, pale c panaitwaa DON TOWN?
afadhali...wasalimie makete comredKwan kila anayepita kitonga ni mtu wa mbeya? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo stress utakuja kufa bureeh, afu kwa mambo yasiyokuhusu.
Dunia laini, ugumu unauleta wee. Home kwetu hapakuhusu
Poleeeeeeh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na bado utateseka sana. Una kariri hovyoo eeeh we mnyaki.afadhali...wasalimie makete comred
Aaaah ouk sawaaah.Down town ipo maeneo hayo pia, Uhuru Park ni mbele yake kidogo
cocasticAaaah ouk sawaaah.
[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]Hahahhaaha haki you two....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Karma[emoji23][emoji23] [emoji1787][emoji1787]