Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,567
- 235,405
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sasa mikononi kucha za bandia ntafanyaje kazi za nyumbani??Wewe kwako utakuwa mkoloni sana ulifaa uwe mwalimu cha ajabu umesomea U brand manager
Kuna mtu unamsubir? 🤣View attachment 1677169
Gheto langu
Yupi?Yule uliye mfocus zaidi
🤣🤣🤣🤣 nimeshtuka hii mida ungekua kilinge Sasa gheto lazma Kuna namnaPisi kali[emoji39][emoji39][emoji39][emoji1550][emoji23]
Mimi je[emoji23][emoji23]Haki na umri huu bado ni mshamba kabisa wa hizi Kucha.kuna siku nilibandika nilijihisi kama mlemavu tu..ngiri sio ngiri basi tu maisha yalikuwa magumu mno
Hajui walimu ndio wako peace Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo walimu ni wakoloni Sana [emoji23]
Uliemuangalia sana.Yupi?
Embu niambie
Dah[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ili uwe mwalimu unatakiwa mshamba
hajui tu embu mwoneshee ulivo peace my teacherHajui walimu ndio wako peace Sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
🤣🤣🤣 urafiki wa mbuzi na chuiNi mgonjwa anakuja kunishukuru [emoji3]
Huko kwenye PC ndio Niko mtupu kabisa[emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka had baas, ila mie hii PC nataman kuiuza tyuuh imenishinda uwezo kwa kweli. Aaaaah
Imeisha hiyo bestie jiandae kunipokeakesho uje mbeya Ila kutoka zenj uogelee mpaka ferry usipande boat
[emoji134]Uliemuangalia sana.
Anatuonea walimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hajui tu embu mwoneshee ulivo peace my teacher
Mimi wa kwayaAnatuonea walimu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mm ni mwalimu wa neno la Mungu
Mke huwezi kosa.Pombe taratibu naanza ipa talaka nisije kosa mke [emoji23]
sitaki wanywajiMke huwezi kosa.
Kuna wanawake wanywaji pia wapo.