Selfika na JF: Snap it. Show it

Hakyamama tena mniombee nirudi..vinginevyo!!nitalowea kwa hawa watu..nimetekwa mimi jamani
wee dea hapana, yaan umelowea kwa wapemba kabisaaa? Karafuu na marashi vina kuwehusha?
"Kwa jina la JAH akuachie kipendhiiiiii urudi huku bara".

Ngoja na mie likizo ya March ntamuambia Mr mpare twende huko nijionee huo utekwaji.
 
We acha tu nimetekwa na vingi mieee...yakheee huko bara mtajanisikia tu(in .....’s voice )πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„

Utaenjoy aiseh we ukuje tu na Mparee wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…