Yah
Sasa mtoa mada alisema Kihombo ndiye the Best of the best ,jamaa akaja akasema the best T.O ni chegere,alipata 99 ya maths wakati Kihombo alikuwa na 98..ndio jamaa mwingine akaja kujibu kwamba huyo chegere wako 99 ya phy hapati
Si kweli, tumesoma wote Shule ya msingi hapo Mbeya na tumemaliza mwaka 1990. Wewe utakuwa na miaka kama 49 hivi. Unamkumbuka Mwalimu mkuu Tuntufye Mwakanosa?
Si kweli, tumesoma wote Shule ya msingi hapo Mbeya na tumemaliza mwaka 1990. Wewe utakuwa na miaka kama 49 hivi. Unamkumbuka Mwalimu mkuu Tuntufye Mwakanosa?