Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 4, 2021 #85,781 cocastic said: Halafu sasa kwenye matokeo hiyo Bios imewaangusha wengi mnooh. Mwaka jana Click to expand... Wenzio wanasema mtihani wa form 2 Hizo hoja nyingine hawakuzisikiza
cocastic said: Halafu sasa kwenye matokeo hiyo Bios imewaangusha wengi mnooh. Mwaka jana Click to expand... Wenzio wanasema mtihani wa form 2 Hizo hoja nyingine hawakuzisikiza
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,217 Jan 4, 2021 #85,782 Saint Anne said: Nipo nanenane Click to expand... mbona umechelewa Sana kujibu nilipita kitamboo npo pandahill secondary unakujua
Saint Anne said: Nipo nanenane Click to expand... mbona umechelewa Sana kujibu nilipita kitamboo npo pandahill secondary unakujua
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 4, 2021 #85,783 cocastic said: Hebu unitag kwenye hizo nyuzi nijionee bas cc, Click to expand... Hadi nizitafute. Mwambie Billdrago akutag
cocastic said: Hebu unitag kwenye hizo nyuzi nijionee bas cc, Click to expand... Hadi nizitafute. Mwambie Billdrago akutag
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 4, 2021 #85,784 cocastic said: Ni Martin chegere, Nae sifa zake tulizisikia pale shule, alikua nondo haswaaaah. Click to expand... Yah Sasa mtoa mada alisema Kihombo ndiye the Best of the best ,jamaa akaja akasema the best T.O ni chegere,alipata 99 ya maths wakati Kihombo alikuwa na 98..ndio jamaa mwingine akaja kujibu kwamba huyo chegere wako 99 ya phy hapati
cocastic said: Ni Martin chegere, Nae sifa zake tulizisikia pale shule, alikua nondo haswaaaah. Click to expand... Yah Sasa mtoa mada alisema Kihombo ndiye the Best of the best ,jamaa akaja akasema the best T.O ni chegere,alipata 99 ya maths wakati Kihombo alikuwa na 98..ndio jamaa mwingine akaja kujibu kwamba huyo chegere wako 99 ya phy hapati
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,217 Jan 4, 2021 #85,785 Saint Anne said: Hadi nizitafute. Mwambie Billdrago akutag Click to expand... sijui kutag angesearch tu Elias kihombo TO inakuja chap
Saint Anne said: Hadi nizitafute. Mwambie Billdrago akutag Click to expand... sijui kutag angesearch tu Elias kihombo TO inakuja chap
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 4, 2021 #85,786 billdrago said: mbona umechelewa Sana kujibu nilipita kitamboo npo pandahill secondary unakujua Click to expand... Unafanya nini PH?? Nakufahamu vizuri.. nimeishi Sana huko Songwe kipindi sisy anafundisha hapo. Utanipa nikirudi .
billdrago said: mbona umechelewa Sana kujibu nilipita kitamboo npo pandahill secondary unakujua Click to expand... Unafanya nini PH?? Nakufahamu vizuri.. nimeishi Sana huko Songwe kipindi sisy anafundisha hapo. Utanipa nikirudi .
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 4, 2021 #85,787 billdrago said: sijui kutag angesearch tu Elias kihombo TO inakuja chap Click to expand... Andika hii alama@ afu unaandika jina lake Sasa. Hebu jaribu tuone.
billdrago said: sijui kutag angesearch tu Elias kihombo TO inakuja chap Click to expand... Andika hii alama@ afu unaandika jina lake Sasa. Hebu jaribu tuone.
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,217 Jan 4, 2021 #85,788 Saint Anne said: Unafanya nini PH?? Nakufahamu vizuri.. nimeishi Sana huko Songwe kipindi sisy anafundisha hapo. Utanipa nikirudi . Click to expand... unarudi lini? Nimekuja mchek mgonjwa rafiki yangu ni mwalimu huku
Saint Anne said: Unafanya nini PH?? Nakufahamu vizuri.. nimeishi Sana huko Songwe kipindi sisy anafundisha hapo. Utanipa nikirudi . Click to expand... unarudi lini? Nimekuja mchek mgonjwa rafiki yangu ni mwalimu huku
Fortnox JF-Expert Member Joined Jul 23, 2019 Posts 3,161 Reaction score 11,217 Jan 4, 2021 #85,789 Saint Anne said: Andika hii alama@ afu unaandika jina lake Sasa. Hebu jaribu tuone. Click to expand... @Saint Anne mbona Kama inagoma au uzee huu
Saint Anne said: Andika hii alama@ afu unaandika jina lake Sasa. Hebu jaribu tuone. Click to expand... @Saint Anne mbona Kama inagoma au uzee huu
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 4, 2021 #85,790 billdrago said: @Saint Anne mbona Kama inagoma au uzee huu Click to expand...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,822 Reaction score 233,255 Jan 4, 2021 #85,791 billdrago said: unarudi lini? Nimekuja mchek mgonjwa rafiki yangu ni mwalimu huku Click to expand... Bado sijajua ila ni siku chache tu
billdrago said: unarudi lini? Nimekuja mchek mgonjwa rafiki yangu ni mwalimu huku Click to expand... Bado sijajua ila ni siku chache tu
Chakorii JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 18,785 Reaction score 51,527 Jan 4, 2021 #85,792 mtu chake said: Hahahaha, mkuu mie niwe mkweli shule sikwenda ,kishandu tu wa mtaani ,kizungu tabu Click to expand... Hahahahahaha
mtu chake said: Hahahaha, mkuu mie niwe mkweli shule sikwenda ,kishandu tu wa mtaani ,kizungu tabu Click to expand... Hahahahahaha
Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,561 Reaction score 23,991 Jan 4, 2021 #85,793 geraldincredible said: hahahahhahah hahaha simara ukamanya kinyaki Click to expand... ha ha ha ha najitahidi lakini nakisikia ila kujibu na kuongea ndo kasheshe
geraldincredible said: hahahahhahah hahaha simara ukamanya kinyaki Click to expand... ha ha ha ha najitahidi lakini nakisikia ila kujibu na kuongea ndo kasheshe
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Jan 4, 2021 #85,794 Simara said: ha ha ha ha najitahidi lakini nakisikia ila kujibu na kuongea ndo kasheshe Click to expand... nimeona shida unayopata hahahha....unaunganisha sentensi hahahha
Simara said: ha ha ha ha najitahidi lakini nakisikia ila kujibu na kuongea ndo kasheshe Click to expand... nimeona shida unayopata hahahha....unaunganisha sentensi hahahha
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Jan 4, 2021 #85,795 Simara said: ha ha ha ha najitahidi lakini nakisikia ila kujibu na kuongea ndo kasheshe Click to expand... ulifika salama pambwani??
Simara said: ha ha ha ha najitahidi lakini nakisikia ila kujibu na kuongea ndo kasheshe Click to expand... ulifika salama pambwani??
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,208 Reaction score 770,367 Jan 4, 2021 #85,796 Magharibi imeingia pande zetu
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,208 Reaction score 770,367 Jan 4, 2021 #85,797
moudgulf JF-Expert Member Joined Jan 23, 2017 Posts 156,208 Reaction score 770,367 Jan 4, 2021 #85,798
geraldincredible JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 2,035 Reaction score 7,227 Jan 4, 2021 #85,799 uzi umepoa au nyie mnaonaje ndugu zangu??
Tresor Mandala JF-Expert Member Joined Aug 20, 2010 Posts 43,253 Reaction score 90,453 Jan 4, 2021 #85,800 Chakorii said: Hahahahahaha Click to expand... Hahahaha, unacheka unawajua VISHANDU wewe, mtoto wa kishua ?
Chakorii said: Hahahahahaha Click to expand... Hahahaha, unacheka unawajua VISHANDU wewe, mtoto wa kishua ?