Selfika na JF: Snap it. Show it

Haha umenikazia
Kuna jamaa kwenye ule Uzi kasema hizo heshima Bora akampe bilgate na sio Elias yeye personally anaona hajafanya kitu
Unataka nikutajie umri wangu hapa??

Kuna mmoja anasema lawama ziende kwa serikali kuwaita hawa watoto maT.O kwa mtihani ambao haupo standardized.
Jamaa flani ana avatar ya nyerere
anatema cheche acha kabisa, anasema genius gani anadisco chuo
hadi Baba swalehe akasema basi yaishe jamaa hakuwa genius
 
Msitupigie kelele na fiziksi jaman..mbona mimi memkwa nilipata 99% na walaaa nimetulia zangu sitangazi injili 😊😊
 
mwingine anasema ile mitihani ilikua mwepesi tu anasema physics ya mwaka 1970 mtu wa kwanza kitaifa ana 47%
 
mwingine anasema ile mitihani ilikua mwepesi tu anasema physics ya mwaka 1970 mtu wa kwanza kitaifa ana 47%
Kuna Uzi mwingine nakwambia walikuwa wanajadili mtihani wa biology Mwaka jana,eti necta wanatoaje mtihani mrahisi vile eti necta ya form 6 wanauliza what is classification swali la form 2 wallah nilicheka Sana mtifuano wa mule ndani.
 
Msitupigie kelele na fiziksi jaman..mbona mimi memkwa nilipata 99% na walaaa nimetulia zangu sitangazi injili

Mimi nimesomea tu ufundi cherehani ..nikajiboost kidogo nikaenda soma certificate ya sports and games
 
Kuna Uzi mwingine nakwambia walikuwa wanajadili mtihani wa biology Mwaka jana,eti necta wanatoaje mtihani mrahisi vile wallah nilicheka Sana mtifuano wa mule ndani.
Niliona wanasema ile bios hata mtoto wa form two anaruka nayo
 
Niliona wanasema ile bios hata mtoto wa form two anaruka nayo
Wanasema eti what is classification,what is cell,yaani maswali ya form 2 kabisa hayo

Hapo wamechukua tu swali moja ,na hata hilohilo bado unaweza usitoboe..mtoto wa form 2 aruke na paper ya form 6 advanced bios!!..watu wana mzaha Sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…