Huduma zake nzuri mno.
Watu wanakuja toka mikoa mbalimbali..ukitaka usichelewe uwahi asbh sana 12 ikugongee pale..nje na hapo utakuta bonge la foleni kwenye kuandikisha
Huduma zake nzuri mno.
Watu wanakuja toka mikoa mbalimbali..ukitaka usichelewe uwahi asbh sana 12 ikugongee pale..nje na hapo utakuta bonge la foleni kwenye kuandikisha
Kuna huyo nesi akija kumcheki mgonjwa hasalimii wala ukimsalimia wewe hajibu. Tukahisi ni kwa mgonjwa wetu tu kumbe hata kwa wengine ni vivyo hivyo...hata ukimuita aja kwa maringo na nyodo mpaka 😄🤦🏽♂️
Kuna huyo nesi akija kumcheki mgonjwa hasalimii wala ukimsalimia wewe hajibu. Tukahisi ni kwa mgonjwa wetu tu kumbe hata kwa wengine ni vivyo hivyo...hata ukimuita aja kwa maringo na nyodo mpaka