Selfika na JF: Snap it. Show it

wivu tu usikute ulikua unabishana na ma HKL yanajua physics Ina vishazi huru
Ndio hapo sasa.
Kuna wengine hata hiyo physics ya form 4 tu hawakuisoma ila walikazana kusema physics unakariri tu!

Yaani hakuna siku nimebishana na watu humu Kama hiyo siku.

Wengine nikagundua hawakuisoma hiyo Combi ya jamaa na hata hiyo 1.3 achilia mbali wastani wake hawakunusa.

Mwingine akaja akasema sayansi ni rahisi kuliko arts maana eti sayansi unasoma vitabu vichache tu umeshamaliza.. yaani nilijisikia kucheka sana..hapo haijui hata Chand moja tu ina uzito gani.Kuna jamaa alikuja kumjibu,huyo Sasa ndo alinivunja mbavu
 
hahaha aisee vijana Wana utani na physics yaan wanasema arts ni ngumu 😆😆😆 Mimi arts hata nilikua sisomi kivile olevel na niliiburuza mpaka naionea huruma
 
hahaha aisee vijana Wana utani na physics yaan wanasema arts ni ngumu
Mimi arts hata nilikua sisomi kivile olevel na niliiburuza mpaka naionea huruma
Shida ni walipoanza kusema eti physics ni rahisi tu!vitabu vichache tu umemaliza afu eti maswali yake hayana chenga,yako straight forward unaweka tu kanuni unatembea

Ule uzi kuna comedy za kutosha.
Hapo hajui tu kama hicho kitabu kimoja kinaweza kuwa sawa na vitabu vyao vyote.

Wanasema ooh hajagundua chochote eti kwahiyo Hana mchango.Tukawaambia kwani mnajua amefundisha vichwa vingapi?
Eti anaishiaje kuwa mwalimu wa tuit??
Nikawaambia hiyo ilikuwa passion yake..

Uzuri Jamaa mwenyewe alikuwaga jeuri hatari
alisema "km unaona sijafanya hiki unanilaumu,basi na wewe pata kama mimi afu ukifanye wewe"
 
yes mbena yule jeuri alikua nayo haswa ungewaambia tu nawasamehe kwakua hamjui mlitendalo enyi kizazi Cha nyoka
 
yes mbena yule jeuri alikua nayo haswa ungewaambia tu nawasamehe kwakua hamjui mlitendalo enyi kizazi Cha nyoka
Jamaa walikuwa hawataki kuappreciate kabisa kuwa jamaa alikuwa mwamba..ukiappreciate kitu haufi jamani


Kuna kadogo kamoja si kakaanza kuniattack na humu huwa kanakuja,wacha nikachambe


Watu wakawa wanasema au mm ni kihombo mwenyewe jamani
Sasa kihombo aje kuchambana huku na alishakufa
 
kuna comment nilicheka sana jamaaa akasema inasemekana hajafa...akaulizwa una uhakika akajibu si huyo st Annie huona analumbana na watu....post ya msiba ila nilicheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…