Tafuta ule uzi wake usome uone watu walivyokuwa wakitoa kejeli.
Watu wanashangaza sana,yaani mtu ametangazwa T.O na anasovu maswali yote ya physics mkimpa ila wanabisha wanasema alikuwa wa Kawaida
Wengine wanasema eti alikariri ty,elimu ya kukariri,,km ni ya kukariri mbona kila mtu angepata hiyo one ya 3..paper ya physics hata ingekuwa kesho mchana ,wakupe marking scheme usiku huu ulale nayo ..kama ulikuwa huielewi hutoboi.
Sasa 98,99,98,97 % wastani wa 98% bado wanasema jamaa wa Kawaida