Selfika na JF: Snap it. Show it

dah kumbe ulikua unamtetea Elias dah ni ndugu yangu kabisaa upande wa mama msibani nilienda
Watu walimtupia mishale sana.
Yote niliibeba.
Jamaa walikuwa wanabisha eti hakuwa genius,eti alibahatisha!
Yaani 1.3 abahatishe??
99 ya physics hata mtu angekuwa mchawi vipi habahatishi bila kuwa genius.

Kungekuwa na tuzo za kubishana siku ile ningepata
 
mbona nilikunywa tatu tu sema leo nilikua nasafari so sijapumzika mama hapa anamind nalala wakat hatujapiga stori
Uliacha kupiga stories na mama wewe ulikuwa iyunga kunywa


Wamama wana upendo sana..kaa ongea naye,acha kulala wewe.
 
walikua na wivu tu jamaa alikua fundi Sana Mimi alinipiga Sana pindi za hesabu nililia Sana kwa Mara ya kwanza toka nizaliwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…