...wengi ni uchwara tu hakyanani.
Malaika ashuke kufanya nini tena
Usifananishe mashabiki uchwara na makada hata huku Liverpool kuna mashabiki uchwara wanaosikilizia upepo na sisi makada
Nimeanza kushabikia liver tangu nimezaliwa enzi za kina Gerrard na Torres mie nilikuwa liver na sijawahi kuhama..Sasa juilize kabla ya 2020 hawa loserfool walikuwa wapi, yaani nyie watu natamani malaika ashuke tu!
Enzi za Gerrard na Torres sio issue, issue hapa ni huwa mlikuwa mnajifungia wapi sisi tukishabikia timu zetuNimeanza kushabikia liver tangu nimezaliwa enzi za kina Gerrard na Torres mie nilikuwa liver na sijawahi kuhama..
Kop amekuja juzi ametukuta na liver yetu
Ulishawahi kupigwa ngumi ukiwa Uyole ukadondokea Mbalizi?
Kwanza kabisa acha kutaja Liverpool na vitu vya ajabu Kama asenalEnzi za Gerrard na Torres sio issue, issue hapa ni huwa mlikuwa mnajifungia wapi sisi tukishabikia timu zetumlikuwa mnasikitisha sana, mshukuruni Klopp.
Kwani aseno waliwahi kuwa serious?Ulishawahi kupigwa ngumi ukiwa Uyole ukadondokea Mbalizi?
Watoto wa kishua. Utasikia 'Mammy 'am fed up with beef'. Kwetu Tandale au Ungalimi umwambie Mama leo sili dagaa!! YewomiiiNyie ndo mnakuwaga na mategemeo makubwa hakyamama tena mwisho unakuwa disappointed.haki endelea kujidanganya billdrago
Usichunguze sana Braza kaka.karibu
View attachment 1665706
Huyo mwamba sasa anahisi mi wa kishua kichizi 😁😁Watoto wa kishua. Utasikia 'Mammy 'am fed up with beef'. Kwetu Tandale au Ungalimi umwambie Mama leo sili dagaa!! Yewomiii
Unatukata stimu!Kwani aseno waliwahi kuwa serious?
Hawawezi kunipiga,wewe mpira tu wanashindwa kucheza ,ukiwaona utasema mashujaaView attachment 1665756
😂😂😂 kisangaWatoto wa kishua. Utasikia 'Mammy 'am fed up with beef'. Kwetu Tandale au Ungalimi umwambie Mama leo sili dagaa!! Yewomiii
Wewe wa Kishua, hata mwandiko nimeudeku unaprint ki Njiro flaniHuyo mwamba sasa anahisi mi wa kishua kichizi 😁😁
This is JF.fake Id’s,fake laifu.😅😅😅
Na wewe unashabikia aseno?Unatukata stimu!
Kumbe na wewe una mawazo kama ya billdrago ..kwanzia sasa hivi nawahakikishia ni natafuta pesa kwa hali na mali nije niishi maisha ya mwandiko wangu..hakyamama tena sasa natafuta pesa kwa uchungu.Wewe wa Kishua, hata mwandiko nimeudeku unaprint ki Njiro flani
Bora mwamba nae kaniunga mkono maana najua ungenishinda tu, ongeza kutafuta ujazilizie tuKumbe na wewe una mawazo kama ya billdrago ..kwanzia sasa hivi nawahakikishia ni natafuta pesa kwa hali na mali nije niishi maisha ya mwandiko wangu..hakyamama tena sasa natafuta pesa kwa uchungu.
Haiwezekani maisha yangu hayaendani na mwandiko wangu.haiwezekani kabisa
Napokea..chochote cha mafanikio mkisemacho nitakipokea na kukifanyia kazi effectivelyBora mwamba nae kaniunga mkono maana najua ungenishinda tu, ongeza kutafuta ujazilizie tu
Ndiyo, ila si kada wa AsernalNa wewe unashabikia aseno?
Koh kohKumbe na wewe una mawazo kama ya billdrago ..kwanzia sasa hivi nawahakikishia ni natafuta pesa kwa hali na mali nije niishi maisha ya mwandiko wangu..hakyamama tena sasa natafuta pesa kwa uchungu.
Haiwezekani maisha yangu hayaendani na mwandiko wangu.haiwezekani kabisa
kohKoh koh
nimekwama hapa nimekutana na maticha wa enz bmkubwa yupo iyunga wameniganda leo kazi ninayoHuku ndio home.
No,sio jeshini Bwana..hapa karibu na mwisho wa waya.
Niletee kitimoto hicho.
pole kwa majanga brother.....furaha umerejea kundinikisanga