Selfika na JF: Snap it. Show it

Baba yangu mzee wa miaka 60's anashabikia litimu lenu..Mimi na nikashabikie litimu la hovyo hivyo[emoji21]si Bora hata niwe aseno[emoji38]
wew ilibidi ndio uwe man u like father like daughter sijui unafeli wapi na livakuku hio.. mby pameanza kua na foleni nipo mafiat hapa naanzia mbalizi naanza kurudi mpaka uyole
 
[emoji3][emoji3][emoji3]

Inaonekana darasani ulikuwa unakumbuka hadi nukta ya mwl yani hausahau kabisa.
Nilikuwa nasahau balaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kichwa kinalia tu "zzzzzzz" mwanzo hadi mwisho wa pepa[emoji1787]
Yale masomo ukikumbuka kila kitu mbona unaweza changanyikiwa ukajikuta unaenda milembe[emoji38]

Haya Sasa weka kapicha[emoji2960]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…