Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,566
- 235,388
[emoji38]Nafika tu mbeya nyumbani jirani yetu hapa pua na mdomo nakuta chuma Ina majanga namuuliza mzee vipi anasema we acha tu Jana juz nililewa nikawa naendesha gari Kama nacheza game la magari kwenye simu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji38][emoji38]Kuolewaa ni sheria babygirl...
Ata uzunguke dunia nzima siku moja utaitaji kuwa na mume na family alafu mimi sio mara ya kwanza kuchumbiwa ati hii ni mara pili nilisha chumbiwa na muboy wangu tuliye dumu kwa muda mrefu kwa mausiano ila tulivunja kutokana na tabia za mshikaji alikuja kubadilika na kunifanya ngoma tena nakumbuka mpk nilikuja kuomba mpk ushahuri jf kama kuna mtu alisha pitia page zangu basi alisha kutana nao uo uzi
huyu mzee ni daktari hua anatamba alisoma urusi so vibia vya local havina ishu Sasa kumbe alipiga safar lager kumi na tano mtoto wake kaniibia siriWazee mnakula Mbanga (ajari) sio poa [emoji23][emoji23]
Sikutegemea haya maneno linah kiukweli.Ishi maisha yako, fanya unacho kiona ni sawa,
Ila kuna umri utafika utakuwa na huo uitaji..
Alafu mbali na hvo pia kuolewa ni bahati
siku mungu akikutunuku utaolewa tu wala usiwe na wasiwasi
mimi nilijikomit kwa mahusiano ambayo nilipenda mpk kufikia hatua ambayo niliona naenda kufa niache maisha, nilimuombea sana nilifunga na kusali kwa ajili yake lkn alibadilika kiasi kikubwa sana kiasi kwamba kila mtu aliniona naenda kufa kisa mapenzi ila siku niliyo muacha wala hakuna aliye nishauri tena..
Toka hapo sijui kubembeleza mausiano kwa ajili ya kutaka ndoa naamin mungu akikupa wako kila kitu kinaenda vzuri
Nashukuru nimepata [emoji120]
Kwa hyo kama unajiona haueleweki ipo siku utaeleweka tu mpenzi na utaeleweka kwa mtu ambaye mungu anakuletea sio unaye mtaka wewe
Mkuu ni matunguli yake yale....we unaona ni kiatu kumbe mwenzako anajiandaa kuruka hapo. Yaani watu wanarogwa mpaka humu JF?Sangoma kumbe una kiatu kizuri hivyo!
Alikuwa na corona hapo.Mshana mbona umepungua hivo ama angle ya picha ndo imekuminya
Wewe bill sasa😅😅😅nakuja kwako sasanamsaidia kutoa ushaur kwamba msichague saaaaana wanaume smtimes unajilipua tu
[emoji3590][emoji91][emoji91][emoji91]YNWA
Mmeanza kuzingua, picha za namna hii zimepigwa ban![emoji3590][emoji91][emoji91][emoji91]YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmeanza kuzingua, picha za namna hii zimepigwa ban!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daddy Nini Shida
Ngoja tuweke na ya Asenali ili kubalance uzi[emoji38]Mmeanza kuzingua, picha za namna hii zimepigwa ban!
Anataka na ya aseno[emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Daddy Nini Shida
Kawaida tu kuna muda dish linayumba chanel zinakata na kuna muda linakaa sawa chanel zinasoma[emoji120]Sikutegemea haya maneno linah kiukweli.
Kumbe uko vizuri mdogo..nilikuwa natikisa kibiriti chako.uko vizuri.[emoji2935][emoji2935][emoji2935]
[emoji38][emoji38][emoji38]aiseee[emoji119][emoji119][emoji119][emoji23][emoji23]
Uliza moderator atakwambia, hizi picha zinatia kichefuchefu. YNWA wakati mtakatifu yupo peke yake hapo?
Hahahah usijali nitawaatika wote muniombee tu mungu asije tokea mubabe mambo yakaenda komboGood ushauri mzuri
Usiache kunialika kula ubwabwa[emoji2960]
Hongera kwa ndoa,wenzangu na mimi aluta continua hadi mitano iishe[emoji38][emoji38][emoji38]
Namna hiiNgoja tuweke na ya Asenali ili kubalance uzi[emoji38]View attachment 1665659
Tunataka hii
😁😁 wacha bhanaMmeanza kuzingua, picha za namna hii zimepigwa ban!