Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,248
Mishono mingi ya vitenge ina-base kwenye shift na solo. Ni kuongeza tu ujanja kidogo ili kitenge kichangamke. Utashona peplum, au off shoulder, kuna hii style ya maputo n.k. ukitoka hapo aah mbona unanoga mama Mtumishi. Hata plain shift na solo ukizishona vizuri unadamshi kabisaaa.
umenitia Moyo..
Ngoja Mwaka huu nishone shone niongeze maujanja.
usinikumbushe siku naenda kutambulishwa kwao na mchumba angu aisee nilienda nimevaa gauni ya kitenge hyo ndefu alafu pana hahahaha mpk mchumba mwenyewe hakuamin kama ni mimi na kichan nakwambia nilifunga na kiremba
Nilijua tu unatania
Wadada ukweni wanavyokuwaga wapole yaani utasema malaika huyu hapa.
Aaah wpWarudishie dukani
Nazipenda maan kwa mishe mishe zangu nakuwa huruAisee
Sasa mbona unavaa??unazipenda?
Basi tumetofautiana
Mimi suruali naweza kuvaa nikiwa nyumbani nafanya vijikazi ila nje na hapo huwezi nikuta nayo natembea mtaani.
😆😆😆jirani weweMbona nguo imetoboka
SafiAisee
Sasa mbona unavaa??unazipenda?
Basi tumetofautiana
Mimi suruali naweza kuvaa nikiwa nyumbani nafanya vijikazi ila nje na hapo huwezi nikuta nayo natembea mtaani.
Raba kali.
Kumbe una account BankAta simjui mkuu tumekutana bank tu tumekaa kiti kmojaa hapo nimempga picha ata hajui
Sio dhambi mkuu unaweza usivae lakini ukafana maivu kuzidi iyo suruali ilivyochanika.Maishani mwangu sidhani kama nitakuja vaa suruali ya hivi.
Ila umependeza
Dada mkubwa naomba kujua.mlifanikiwa kufunga ndoa??tuachane na mapishiusinikumbushe siku naenda kutambulishwa kwao na mchumba angu aisee nilienda nimevaa gauni ya kitenge hyo ndefu alafu pana hahahaha mpk mchumba mwenyewe hakuamin kama ni mimi na kichan nakwambia nilifunga na kirembajmn nilifika tu baba mkwe ananiita akanipeleka zizini nichague mfugo wa kuchinjiwa...sita isahau hyo siku nilichagua kondoo nikachinjiwa..nikapewa mawe nipange mafiga mtoto wa watu mimi sijawai pika ugali kwa mikono miwili toka niwepo jmn ila sikujali nilivua gaun langu nikaweka kando nikavaa dela nikapanga mafiga nikawasha moto nikatenga mboga uku mawifi na wake na mashemej wananiangalia tu jmnimagen sikuonesha hasira kbsaa nilipika yule kondoo then nikatenga sufuria la ya ugarikwenye kusonga ilikuwa kimbembe niktazama watu ni nyomi kishenzi wa 16 walikuwepo pale ukweli nilimuita mama mkwe nikamwambia tu ukweli siwezi kusonga ugari wa watu 16 wa watu kumi tu sijawai nilicho kifnya nilimfata kijan ake nikamwambia baby si unajua bdo naumwa eeh maan nilikuwa na wiki 2 toka nialibikiwe ujauzito ndo kamfata mama ake kumwambia hyu bdo anaumwa harusiwi kufanya kazi ngumu hahahahahsita sahau kwa kweli ukweni mkusikie tu hakunaga mazoea
Bado ni modern slave.Mishono mingi ya vitenge ina-base kwenye shift na solo. Ni kuongeza tu ujanja kidogo ili kitenge kichangamke. Utashona peplum, au off shoulder, kuna hii style ya maputo, tarumbeta n.k. ukitoka hapo aah mbona unanoga mama Mtumishi. Hata plain shift na solo ukizishona vizuri unadamshi kabisaaa.
Au unahisa?Daaah!! umefikilia mbali itakuwa
Kwa yeye sina uhakika sana kama anafanya maovu ila me namuonaga mtu mmoja swalatano full ijabu lan uwezi amini anadanga mpka na waume za watuSio dhambi mkuu unaweza usivae lakini ukafana maivu kuzidi iyo suruali ilivyochanika.
Dhambi sio kudanga tu ata uchoyo , roho mbaya n.kKwa yeye sina uhakika sana kama anafanya maovu ila me namuonaga mtu mmoja swalatano full ijabu lan uwezi amini anadanga mpka na waume za watu
Hahaha ndoa nafunga tu soon inshallah tuombe uzimaDada mkubwa naomba kujua.mlifanikiwa kufunga ndoa??tuachane na mapishi
Kbsaaaa aan una hakiri wewe mtotoDhambi sio kudanga tu ata uchoyo , roho mbaya n.k