Na uwezi amani ata nikienda kwetu sivaagi suruali kuna sheria matata ata kimin uwezi vaa ati ....ila niko kwangu navaa navo jisikia ila nihakikisha tu nisionane na baba, mjomba,wala kaka nitakula mbata barabarn za kutosha
Mishono mingi ya vitenge ina-base kwenye shift na solo. Ni kuongeza tu ujanja kidogo ili kitenge kichangamke. Utashona peplum, au off shoulder, kuna hii style ya maputo, tarumbeta n.k. ukitoka hapo aah mbona unanoga mama Mtumishi. Hata plain shift na solo ukizishona vizuri unadamshi kabisaaa.