Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Wanawake hamshindwagi mkitongoza..Hahahaha mi mwenyewe domo zege
Wanawake hamshindwagi mkitongoza..Hahahaha mi mwenyewe domo zege
Haha..!!Uhandsome boy wa Kanda ya ziwa![]()
Fumba macho tumuambishe shetaniWahuni si watu wazuri
You don't have to be.....Sorry..
Wanawake hamshindwagi mkitongoza..
Idake jamaniNyota imeniangukia
NishamzoeaHaha..!!
atakuja na u-handsome bila kusahau mabango lakini !!



Acheni kuamsha vilivyo lala
Kumekucha
Yaaani acha kabisaahuu uzi usishangae kuchanganya mafile maana unatiririka hatari
leo kazi ninayo maana hizi picha za leo 😍 ❤ ❤
Fumba macho tumuambishe shetani
Haha..Sio kwa mipaja ile, nitakuwa wa mwisho kuamini kama hayajasuport mzigo huko nyuma.
Usiogope pipe za kukaushia kulowana zipo
Once in a blue moon is not badUsijekuwa wewe ndo shetani mwenyewe
Mke wangu mwaka 2030 atatoka kati ya mikoa hii.. Mbeya,Tanga,Moshi na Arusha
Ooh ThanksYou don't have to be.....
Oooh not fair..Sasa si ndo nimtongoze mwanaume sio mwanamke