😂😂😂yan me Mara zote humu huwa nakutana na picha za vyakula kutoka kwa Lizzy, nshawai bahatika kuona mguu wa chakorii na za wale wavaa makofia makubwàa, hata shingo huzion.
Vnginevyo ni ujumbe huo tu.😞😞😞
kuna post moja ya twitter nilicheka sanaa.
Mdada kapost Good morning to all ladies and other gender that betray Jesus
Alichojibiwa sasa 😄 Nikabaki kucheka tu