๐๐๐mtakatifu umewaza nini lkni๐๐[emoji7][emoji7][emoji7]wacha bwana
Watu mpo vacation..
Wengine tulishinda kulipua baruti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
๐๐๐ nimecheka Sana ndio maana ulikua unachapwa sangu wew ukorofi ukorofi[emoji7][emoji7][emoji7]wacha bwana
Watu mpo vacation..
Wengine tulishinda kulipua baruti[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mwamba gani mbona nimepitwa saana Nipe code ๐ ๐๐๐๐
Hebu niwache nijiinjoi na mwamba kwanza nikimaliza nitakujibu๐คช๐คช๐คช
๐ ๐ Ndiyo MkuuWacha bhana......๐๐๐๐
Mwamba wa mawe๐๐mwamba gani mbona nimepitwa saana Nipe code ๐ ๐
we mwache jpili tukasali nitakua namuombea kwa nguvu na yeye anasikia hapo hapo๐๐๐mtakatifu umewaza nini lkni๐๐
Imeisha hiyoooo๐ ๐ Ndiyo Mkuu
sema usisahau kututuletea karafuu na urojo watu wa mwanza me na msukuma mwenzangu๐๐
Uwakika MkuuImeisha hiyoooo
๐๐๐ rudi dar harakaMwamba wa mawe
Nishamuacha๐๐๐๐๐we mwache jpili tukasali nitakua namuombea kwa nguvu na yeye anasikia hapo hapo
Si umeomba amaaa..๐คฃ๐คฃUwakika Mkuu
๐ ๐ ๐ narudi tena chap kwa haraka.kwako sileti jeuri ujue b....I....๐๐๐ rudi dar haraka
general rule Aombaye hupewa ๐ Me hapa now nasubilia unambie mzigo utakuja na Ndege ipi๐Si umeomba amaaa..๐คฃ๐คฃ
Hebu huko....kunakukubaliwa na kukataliwa๐๐
Mbona nilitupia hivi majuzi tuAnza kuselfika mkuu..
Fungua Mwaka kwa picha.
Ndio maana mlishindwa kusherekea mwaka mpya jana. Maana Kulikuwa kumepooza. Kufika saa name tu polisi wakaanza kupita eti wanafunga bar. Ila Police wa Mbeya njaa kaliMbeya hali ya hewa hadi inakeraView attachment 1664882
Mambo ndio haya sasaKherini ya siku ya Kwanza ya MWAKA 2021.View attachment 1664888
Uliweza kula? Mimi naweza nikita nafunga kula siku zote. Vipi ulikaa ngapi[emoji23][emoji23]hahaha saivi kitambi kwisha nilikua sijawahi ingia aisee usiombe uje ingia ni kuchafu balaa msosi walikua wananiletea lakini kwa ule uchafu hapana aisee it's a bad experience ever, uko greencity ?
Dah...pole sana Bill...na wahanga wengine pia. Hopefully mambo yatakaa sawa soon enough ๐๐Habari washkaj zangu niliwamis Sana mwenzenu nilipata majanga sikumaliza mwaka vizuri ndio maana hamkuniona humu la kwa muda nilipata bonge la ajali wazee nikagonga watu bahati mbaya wakafa nimekaa Sana rumande nimetoka juzi mniombee nikae sawa kisaikolojia