Selfika na JF: Snap it. Show it

Pamoja sana mate.. uwe na mwaka mwema kiongozi.
It's Da'Vinci with apostrophe 😀
 
Happy new year, to all of you, ilikuwa ni furaha sana kukutana na nyie wote na kubadilishana mawazo, vi furaha na vi chuki vya hapa na pale, maisha yanaenda, kama kuna niliyemkera, kwa kweli ntahakikisha nnamkera zaidi 2021, kama mwaka unavyoongezeka kila kitu kwangu kitaongezeka, love, hate, kutoa, kupokea, mazoezi, kula, kunywa, kila kitu for sure, itakuwa balaa zaidi...no way i'm backing down, its all love wazee wa selfie
 
Moaaaah thanks ma kipenziiiiiiiiiih.
[emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
 
Shukrani sana kipenzi heri ya mwaka mpya na kwako pia [emoji120][emoji120]
Ukawe wenye heri na baraka tele kwako na wote uwapendao [emoji173][emoji173]
 
Pamoja sana kiongozi
Happy new year
 
Napenda kuwatakia Kheri ya mwaka mpya,
Depal, rafiki na ndugu angu wa faida, [emoji3590][emoji3590]

Chakorii , kipendhiiiii na ni zaidi ya kila kitu kwangu. [emoji3590][emoji3590]

Saint Anne , mtakatifu, na mshauri wangu, ni zaidi ya mlezi.

mtu chake , daddie ake mimi, naomba unisamehe km nimekukosea, unavonichunia naumia moyo kid ako.

@Zoë , huyu ni mommy angu, ila amepotea San sijui yuko wapi nime mmiss moah.

Culture Me, babeeh ake mie, vile unajua nakupendaga.

moj6 , Ex nimekumiss moaah, nisamehe bado nakupenda.

yna2 , ni cc angu wa damu, unajua mdogo ako najivunia kua na dada km wee

Karma , ni 1 kat ya watu ninao wa admire San humu, love u.

Heaven Sent , wewe ni kiongozi wa mafunzo ya maisha kwangu, nakupenda sana.

amu , shangazi angu wa ukweli, nimeku miss San.

Lizzy, ni rafiki angu wa faida.

Na wengine wote, nawatakia kheri, baraka, fanaka tele.

Love urs moaah.
 

[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
Heri ya mwaka mpya kwako pia, stay blessed!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…