Selfika na JF: Snap it. Show it

linahbaby mbona unakuza mambo.. Mtoto mtam machoni kama wewe hupaswi kuwa hivi bana.. We umeumia kuitwa mbuzi ila am sure maumivu uliyoyahisi siku hiyo hayafikii hata robo ya maumivu mwanamme rijali wa ki Afirika anapoitwa mtoto wa kike au kunasibishwa na chochote cha kike kike. Binafsi hata mimi ningekumind na nadhani ni kwa mwanamme yeyote humu so kwa kuwa mwamba kawa mzungu kapotezea na kaamua kusonga mbele we pia potezea. Angeweza kuriport kwa mods ukala ban flan la kikatili sana ila hakufanya so hii ione kama ishara kwamba kaachana na haya yote so jukumu lako kama mtu mzima ni kuachana nalo pia.. unavolikomalia mwisho utaonekana mshari.. Sio sifa nzuri kwa watu wenye majukumu
 
👌👌👌🥂🥂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…