Selfika na JF: Snap it. Show it

Kweli kabisa...
Nilichogundua humu ndani mtu anakujaribu kukuvunjia adabu makusudi ukikaa kimya ndo basi tena.

Sikatai kutaniana kupo na tunafurahi lakini ikipitiliza 😁😁huwa nabadilika kabisaaaaa na siwezi jizuia nikikasirika

Tucheke,tufurahi,tuheshimiane maisha yapate kuendelea..🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🥂🥂🥂
 
Naona umestuka...

Vipi uliagiza nini Niongee na Goblin wakulipie...

Anyway Nakukubali Mtu wa watu my apologies for Bad language ya mchana😉
Sasa ndo nataka kulala kina shughuli nilikuwa nafanya.ninalala 2hours tukijaaliwa uzima saa kumi natakiwa kuwa nimeshaamka..

😅😅sijaagiza kwakuwa sinalala Chief.

Hey!!mwamba mbona ilishaishaga kitambo mnoo...ngoja nikwambie kuhusu mimi,,napenda kuwa na amani na kufurahi mda mwingi sana.so ukiona kitu kimekaa moyoni kwangu muda mrefu basi jua ni kikubwa..

Btw ukishaona hizi 🥂🥂 nimekugongea basi ndo ujue
 
Duuh pole sana Arifu.. Ningependa kujipa majukumu ya kukuamsha😆Japo sijakizi viwango Vya TBS
Now uagize sasa🥂

sipendi mambo yaishe kijuba huwa napenda yaishe kiungwana...,
But yote ni mema🥂🥂🥂

Uwe na usiku mwema Na njozi Njema Mungu unayemuamin akulinde usiku huu♥️
 
😊😊🥂🥂🥂..

Asante kwa kujali..Mwenyezi Mungu ataniamsha mapema tu nikisindikizwa na alarm.asante kwa mara nyingine tena.

Shukrani mkuu nawe usiku mwema na Mungu akulinde na kukutunza pia👏👏
 
Ni mpaja wa mwanamke au dume huo? Kaa chonjo Msukuma utakuja kula hata vilivyo haramu. Najua Wasukuma mkiona hiyo rangi ya mtume basi akili zinakata. Be careful !!!
Hahaha....mwanaume anaweza kuwa na mpaja mweupe na mlaini kiasi hicho mkuu Ubinadamu Kwanza ?

Ila sidhani mkuu huo mpaja wa mwanamke bhana


Habari za asubuhi mkuu
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…