Dea umesha ondoka dom na kutud mbeya.Jioni
Kabwe Mbeya[emoji7][emoji177][emoji3590]View attachment 1661680
Katoto kazuri [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
I bet kanaitwa ka junior.Tumekua....hatuchoshani sana sasa [emoji846][emoji846]View attachment 1662100
Asante mpenzi π€Katoto kazuri [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
πππ...sikuwahi hata kufikiria. Alafu kina Jr kama wakorofi korofi sana ππI bet kanaitwa ka junior.
Umekuza dear, Jah akalinde katoto kazuri.Asante mpenzi [emoji847]
Hizo kazi za jikoni unanitesea mwanangu, muache akacheze gameTumekua....hatuchoshani sana sasa [emoji846][emoji846]View attachment 1662100
Wajinga sana hao watoto mimi nikisikia mtoto anaitwa ivyo ata simtaki kabisa[emoji38][emoji38][emoji38]...sikuwahi hata kufikiria. Alafu kina Jr kama wakorofi korofi sana [emoji57][emoji57]
Inshallah!!ππUmekuza dear, Jah akalinde katoto kazuri.
ππ anakata zake mwenyewe za kula. Very weird kid....anapenda sana π π πHizo kazi za jikoni unanitesea mwanangu, muache akacheze game
πππ japo sipendi ku-generalize vitu ila kuna kaukweli flani hivi kwa baadhi yao. Nna mshkaji wangu anaenda kwa jina hilo....hadi nimemchoka ππWajinga sana hao watoto mimi nikisikia mtoto anaitwa ivyo ata simtaki kabisa
Ohhh ni mtoto mzuri sana, imekaa vyema[emoji3][emoji3] anakata zake mwenyewe za kula. Very weird kid....anapenda sana [emoji534][emoji534][emoji846]
Alafu anapenda kazi ila za jikoni namkatalia bana. Mpaka awe mkubwa mkubwa. Leo asubuhi kaamkia kuosha viatu so nautumia utayari wake wa kufanya kazi vizuri [emoji846][emoji85]
View attachment 1662131
[emoji991] by him....
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]Inshallah!![emoji56][emoji56]
[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Karibuni [emoji3056][emoji3056]View attachment 1662133
Umeliamsha mapema sana [emoji23][emoji23]
Huu ni msimu wa wenye pesa hakyanani, Mungu anawaona[emoji39]