Ingekuwa hvo kusingekuwepo sukari na chumvi ingekuwepo chumvi tu ila kwa vile sukari na chumvi vyote vinaumhimu acha kunibania unaelewa kbsa sukar na chumvi radha toafut kabsaa
Awe na hela staki marioo mimi kama hela ya matumizi ipo sawa aje..ila kama ana ubaili wa chuga hapa atakula wa chuya bofa nibaki na msukuma wangu anajua kucare na kuhudumia