Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acha nyasi we msukuma hazikufai
Karibu nyama ya kuku wa kienyeji
JPEG_20201227_210438_5563042986356984164.jpg
 
Hahaha linahbaby kahusikaje/kaingiaje hapa mkuu

Nimepika mimi nilikuwa najifunza kupika

Shemeji yangu Chakorii bhana
Si ndo mamsap wa sitori au sio.

😅😅kama ni wewe ndo umepika hiyo mboga na unajifunza!basi unafaa kwa matumizi jombaa safi!

Yani Shemeji yako mimi au nani maana sijaelewa 😆😆😆😆😁😁😁
 
Back
Top Bottom