linahbaby
JF-Expert Member
- Jul 18, 2020
- 1,087
- 3,084
Unanichumia dhambi ujueYan Mama angu alivyoulizwa na mzee mahabuba wako yuko wap alijibu kama wewe na mwisho wa siku me ndo matokeo ya hiyo kauli
Nazan umepata mwongozo![]()
Ahaaa kumbe shule zitakuwa zimefunguliwa ee😆😆Tofaut lazima ionekane kati ya watakao ondoka January 4 na sisi...
Wewe sasa😅😅Chat na pichaaa
My wiiii naomba kapicha ka sikukuuWewe sasa😅😅
Nimekuita sijakusalimia mkuuMambo

Buzy na nini na sikukuu yote hii umemuacha babe pekyakeNilikuwa busy mamy
Itabidi nimuulize mtuhumiwa hii wifi inakaaje kaaje..My wiiii naomba kapicha ka sikukuu
Hata sio dhambi...Unanichumia dhambi ujue
Huoni kuwa tutamfukulia makaburi Chief!!Muulize familia inaendelea![]()
Sihaiona mamitoItabidi nimuulize mtuhumiwa hii wifi inakaaje kaaje..
Mbona nimeiweka huko juu kipenzi changu!hujaiona!!
Weeeee usiniambieHata sio dhambi...
tumeletwa tujaze dunia..
Ipo huko juu mamilooSihaiona mamito
Yeah tutabaki watu wazima na bibi kizee mmojaAhaaa kumbe shule zitakuwa zimefunguliwa ee![]()
Kazi ya kamati ya roho mbaya hii....Huoni kuwa tutamfukulia makaburi Chief!!
