Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kutoka kwenye baba na mama watoto mpka kwenye ukuu[emoji28][emoji28]kwani kila mtu yuko katika mazingira gani mpka muitane wakuu[emoji2957][emoji2957]
Hahahahaha.....nimejikuta nacheka kwa sauti ya juu mno.

Chakorii bhana sijui unakuwaga una nini tu wewe mkuu[emoji1][emoji1]

Habari za asubuhi mpendwa
 
Hahahahaha.....nimejikuta nacheka kwa sauti ya juu mno.

Chakorii bhana sijui unakuwaga una nini tu wewe mkuu[emoji1][emoji1]

Habari za asubuhi mpendwa
Weeeeee usiniambie umecheka kwa sauti!!

😅😅😅huwa sinaga kitu jombaa

Ila we mwanangu mchoyo kichizi yani...
Umenibania mbuzi na ugali wa kienyeji krismass yote hiyo eti leo ndo unarudi 🤔🤔🤔
 
Weeeeee usiniambie umecheka kwa sauti!!

[emoji28][emoji28][emoji28]huwa sinaga kitu jombaa

Ila we mwanangu mchoyo kichizi yani...
Umenibania mbuzi na ugali wa kienyeji krismass yote hiyo eti leo ndo unarudi [emoji848][emoji848][emoji848]
Hahaha...hata sijakumbania chochote/lolote mkuu.

Kwamba toka kwenye umama na ubaba watoto mpaka kwenye ukuu/mkuu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
 
Hahaha...hata sijakumbania chochote/lolote mkuu.

Kwamba toka kwenye umama na ubaba watoto mpaka kwenye ukuu/mkuu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Sasa mbona ulipotea hewani na vyienyeji vyako??

😁😁si ndo hapo sasa..au mlikuwa mnalinda njia kuu msimu huu wa sikukuu?

Haya ikivuka tarehe 1/1 tukijaaliwa uzima na afya nitaomba majina yenu matamu yarud kwa kishindo.understood
 
walking dead
20201227_082111.jpg
 
Back
Top Bottom