Heri ya Christmas na mwaka mpya mkuu[emoji23][emoji23]Safi tu mkuu
Kwangu ili pambe tuHeri ya Christmas na mwaka mpya mkuu
Nina lawama nyingi jirani nihurumieJirani yangu wangu we si wakunitupa siku muhimu kama jana na leo.
Hata karibu ya uongo kweli[emoji22][emoji22][emoji22]
Hapana kama ndo maana yake aise..Namaanisha unamapepe uko vizuri...😂
Kuna code moja mbona huiulizii..???
Haki jirani siwezi kukuhurumia..waambie hao wengine wakuhurumie ila sio mimi jirani yanguNina lawama nyingi jirani nihurumie
[emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1659690
Siamini Hadi muda huu sijafungua box lolote
🤣🤣🤣🤣 Nimechekaa[emoji7][emoji7][emoji7]
Mimi nimefungua box la kiberiti kupasha kiporo
Nipe jukumuHaki jirani siwezi kukuhurumia..waambie hao wengine wakuhurumie ila sio mimi jirani yangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Nimechekaa
[emoji117][emoji2390][emoji2388][emoji2390][emoji2389]#bingewatching & #sugarcravings
View attachment 1659797
Kutoka kwenye baba na mama watoto mpka kwenye ukuu😅😅kwani kila mtu yuko katika mazingira gani mpka muitane wakuu🤪🤪Heri ya Christmas na mwaka mpya mkuu
Unioshe miguu na kunisugua magagaNipe jukumu
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We mtata sana jirani yanguKutoka kwenye baba na mama watoto mpka kwenye ukuu[emoji28][emoji28]kwani kila mtu yuko katika mazingira gani mpka muitane wakuu[emoji2957][emoji2957]
Noooooo way, nini [emoji12][emoji12]Unioshe miguu na kunisugua magaga
Anguko la kiuchumi😂Kutoka kwenye baba na mama watoto mpka kwenye ukuu😅😅kwani kila mtu yuko katika mazingira gani mpka muitane wakuu🤪🤪
Nilijaribu tu kuwaza kwa sauti jirani yangu..[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] We mtata sana jirani yangu
Wacha bhana 😅😅😅Anguko la kiuchumi😂