Selfika na JF: Snap it. Show it

Chakorii mwambie kaka ako namzimikia kimomaaa aseme kama hajanielewa nifocus na binamu yangu@Iceberg9 [emoji18]View attachment 1659381
Una ujasiri dyadya...๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…safi!

Sasa na wewe unakosea kumtamkia hapa public...kama kuna viunga vya jirani huoni unaharibu sasa๐Ÿคซ๐Ÿคซ

Zama piemu huko acha mambo ya ajabu
 
Una ujasiri dyadya...[emoji28][emoji28]safi!

Sasa na wewe unakosea kumtamkia hapa public...kama kuna viunga vya jirani huoni unaharibu sasa[emoji2958][emoji2958]

Zama piemu huko acha mambo ya ajabu
Mwambie naelekea kukata tamaa na siku nikikata tamaa ndo naondoka na jf kbsaaa sita rudi[emoji2]


Kwan kumpenda mtu vibaya [emoji29]
 
Mwambie naelekea kukata tamaa na siku nikikata tamaa ndo naondoka na jf kbsaaa sita rudi[emoji2]


Kwan kumpenda mtu vibaya [emoji29]
Hivi kumbe uko siriazi mama..loh haki nilikuwa sijui...

So sadi pole...๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ๐Ÿ™†โ€โ™€๏ธ

๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…huoni ukiondoka utakuwa umempunguzia injili ๐Ÿคช๐Ÿคชkomaa dada
Si unajua ukisusa wenzio wala eee๐Ÿ˜ehee

Kumpenda mtu si vibaya ila na yeye kukupenda hapo ndo kipengele si unajua eee๐Ÿ˜๐Ÿ˜eheee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ