Wacha bhana..ndo unaenda ukweni!!Wee dea kesho me nipo safarini, naenda kaskazini plz maombi yako muhimu kwangu.
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Binamu uvumilivu utanishinda mimi kwan kuvunja ukoo sh ngap? tuwe tu mume na mke maan T 1990 ELY naye kanitelekeza [emoji22]Nakuambie, ubinamu kazi basi tu tujikaze tu tuulinde undugu,
Mzee wa kuchabo kimya kimya[emoji847]Hahahaha haya bana ,Rafiki kipenzi ,mie Nilikua napita tu
Yewooooomiiiiiieeeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Binamu uvumilivu utanishinda mimi kwan kuvunja ukoo sh ngap? tuwe tu mume na mke maan T 1990 ELY naye kanitelekeza [emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Utakuwa matron usijali[emoji7][emoji7]
Hahahaha, hujambo bibieMzee wa kuchabo kimya kimya[emoji847]
Kwa kweli hapana siko pouwa [emoji18]Hahahaha, hujambo bibie
Duh,nini tatizo tena mtoto mzuriKwa kweli hapana siko pouwa [emoji18]
Hata chai sijapata leo, nikiona hivi dah!![emoji493][emoji493]View attachment 1657492
Miss you.[emoji16][emoji3056][emoji3056][emoji3056]View attachment 1657488
Salute afande nilikuwaga nakuhisi kumbe kweli.
Napata wapi ujasiri wa kukutelekeza wewe mwanamke mzuri...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Binamu uvumilivu utanishinda mimi kwan kuvunja ukoo sh ngap? tuwe tu mume na mke maan T 1990 ELY naye kanitelekeza [emoji22]
Mmmmh.....
HahahahaSalute afande nilikuwaga nakuhisi kumbe kweli.
Cameraman [emoji16] wa TPDF.Hahahaha
Oooh safi sana,hongera zake kijanaCameraman [emoji16] wa TPDF.