Selfika na JF: Snap it. Show it

Wanaume wa jf wambea nyie [emoji1787][emoji1787]
Nipe mimi nikukule kipenzi sitakutangaza hata[emoji39][emoji39][emoji39].... Jokes aside inakuaje na nyie mnaingia miguu yote miwili mmekutana humu mtandaoni mnaanza kuaminiana [emoji817] [emoji817] [emoji817], muwe makini kwa mtu unaetaka kumuamini chukueni hatua kabla hamjaumizana
 
Eti muwe makini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bwana we haya mambo ni kama gonjwa la UKIMWI kiiila siku tunashauriwa kadha wa kadha ila bado twafwaa.
Haya mambo huwa sometime hayana umakini, huyohuyo unayejiona umekuwa makini kumbe ndio tatizo.

Maisha ni betting, kuna kula na kuliwa. Sasa ukiliwa ndio hivyo unajipa moyo maisha yanasonga.
 
Positive.. Ili likitokea baya basi linakua sehemu ya mategemeo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…