Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Dec 22, 2020 #81,981 yna2 said: Jasiri haachi asili best.. inavyoonekana ndiyo hulka yake Click to expand... Duh!!!! Tumsamehe bure kwa kweli..
yna2 said: Jasiri haachi asili best.. inavyoonekana ndiyo hulka yake Click to expand... Duh!!!! Tumsamehe bure kwa kweli..
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Dec 22, 2020 #81,982 Makiseo said: Inabidi aache aisee.. hao anaowaonesha wanampa nini kikubwa hivyo etii?? Click to expand... Hahhaa tunajua sasa labda upendo eti
Makiseo said: Inabidi aache aisee.. hao anaowaonesha wanampa nini kikubwa hivyo etii?? Click to expand... Hahhaa tunajua sasa labda upendo eti
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Dec 22, 2020 #81,983 Shunie said: Hahhaa tunajua sasa labda upendo eti Click to expand... Mmmmh!! Ki ukweli kama anasoma hizi comment aache hiyo tabia.. sijapenda.
Shunie said: Hahhaa tunajua sasa labda upendo eti Click to expand... Mmmmh!! Ki ukweli kama anasoma hizi comment aache hiyo tabia.. sijapenda.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Dec 22, 2020 #81,984 Makiseo said: Mmmmh!! Ki ukweli kama anasoma hizi comment aache hiyo tabia.. sijapenda. Click to expand... Hahaha kama nakuona hapo navuta picha umeshika bakora kabisa
Makiseo said: Mmmmh!! Ki ukweli kama anasoma hizi comment aache hiyo tabia.. sijapenda. Click to expand... Hahaha kama nakuona hapo navuta picha umeshika bakora kabisa
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Dec 22, 2020 #81,985 Shunie said: Hahaha kama nakuona hapo navuta picha umeshika bakora kabisa Click to expand... acha tu Best. Mwanamke mwenzetu anatufanyia upuuzi wa namna hii kweli? Si bora angekuwa Mwanaume tungesema labda ana sababu zake..
Shunie said: Hahaha kama nakuona hapo navuta picha umeshika bakora kabisa Click to expand... acha tu Best. Mwanamke mwenzetu anatufanyia upuuzi wa namna hii kweli? Si bora angekuwa Mwanaume tungesema labda ana sababu zake..
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Dec 22, 2020 #81,986 yna2 said: Ila labda ndiyo kibarua chake humu..mwenzetu yupo kazini Click to expand... Hata mie nahisi hivyo Lazima analipwa si unajua wanaume wa JF wakitaka kumjua mdada fulani humu basi watafanya juu chini hadi lengo lao litimie
yna2 said: Ila labda ndiyo kibarua chake humu..mwenzetu yupo kazini Click to expand... Hata mie nahisi hivyo Lazima analipwa si unajua wanaume wa JF wakitaka kumjua mdada fulani humu basi watafanya juu chini hadi lengo lao litimie
Extrovert JF-Expert Member Joined Feb 29, 2016 Posts 72,149 Reaction score 190,639 Dec 22, 2020 #81,987 Saint Anne said: Jamani Nionyeshe basi Click to expand... Njoo inbobo
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Dec 22, 2020 #81,988 Extrovert said: Njoo inbobo Click to expand... Iweke hapa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Dec 22, 2020 #81,989 Shunie said: Sasa je hapo umemaliza Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Dec 22, 2020 #81,990 Makiseo said: acha tu Best. Mwanamke mwenzetu anatufanyia upuuzi wa namna hii kweli? Si bora angekuwa Mwanaume tungesema labda ana sababu zake.. Click to expand... Ebu jamani unajua ukisikia mwanaume anafanya hivi wala hushangai kabisa
Makiseo said: acha tu Best. Mwanamke mwenzetu anatufanyia upuuzi wa namna hii kweli? Si bora angekuwa Mwanaume tungesema labda ana sababu zake.. Click to expand... Ebu jamani unajua ukisikia mwanaume anafanya hivi wala hushangai kabisa
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Dec 22, 2020 #81,991 yna2 said: Nakazia Click to expand...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Dec 22, 2020 #81,992 Karma said: Hata mie nahisi hivyo Lazima analipwa si unajua wanaume wa JF wakitaka kumjua mdada fulani humu basi watafanya juu chini hadi lengo lao litimie Click to expand... Na ndio wapo hivyo waone hivi yupoje anafananaje ili watunange
Karma said: Hata mie nahisi hivyo Lazima analipwa si unajua wanaume wa JF wakitaka kumjua mdada fulani humu basi watafanya juu chini hadi lengo lao litimie Click to expand... Na ndio wapo hivyo waone hivi yupoje anafananaje ili watunange
Makiwendo JF-Expert Member Joined Aug 12, 2015 Posts 10,031 Reaction score 34,667 Dec 22, 2020 #81,993 Shunie said: Ebu jamani unajua ukisikia mwanaume anafanya hivi wala hushangai kabisa Click to expand... Huyo kuna namna aisee...
Shunie said: Ebu jamani unajua ukisikia mwanaume anafanya hivi wala hushangai kabisa Click to expand... Huyo kuna namna aisee...
Saint Anne JF-Expert Member Joined Aug 19, 2018 Posts 77,819 Reaction score 233,249 Dec 22, 2020 #81,994 Shunie said: Na ndio wapo hivyo waone hivi yupoje anafananaje ili watunange Click to expand... Watunange kwani walituumba wao?? Wakwende Mm mtu akininanga tunanangana.
Shunie said: Na ndio wapo hivyo waone hivi yupoje anafananaje ili watunange Click to expand... Watunange kwani walituumba wao?? Wakwende Mm mtu akininanga tunanangana.
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Dec 22, 2020 #81,995 Chakorii said: Kudadeki zake analipwa nini mbona mswazi sana huyo dada Click to expand... Yaani hata sijui analipwa nini aisee! Mwanzo nilikuwaga tu nasikia kuna watu wanalipwa humu ili kupata picha na info za watu fulani nikawa nahisi utani sasa ndiyo nimeamini!
Chakorii said: Kudadeki zake analipwa nini mbona mswazi sana huyo dada Click to expand... Yaani hata sijui analipwa nini aisee! Mwanzo nilikuwaga tu nasikia kuna watu wanalipwa humu ili kupata picha na info za watu fulani nikawa nahisi utani sasa ndiyo nimeamini!
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Dec 22, 2020 #81,996 kurlzawa said: Umeongea kiumbea hadi nashindwa nisemeje Click to expand... Teh Teh Sawa Rapcha hebu tupe mistari aisee
kurlzawa said: Umeongea kiumbea hadi nashindwa nisemeje Click to expand... Teh Teh Sawa Rapcha hebu tupe mistari aisee
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,076 Reaction score 463,978 Dec 22, 2020 #81,997 Saint Anne said: Watunange kwani walituumba wao?? Wakwende Mm mtu akininanga tunanangana. Click to expand... Sasa una nangana nae unamjua yeye anakujua
Saint Anne said: Watunange kwani walituumba wao?? Wakwende Mm mtu akininanga tunanangana. Click to expand... Sasa una nangana nae unamjua yeye anakujua
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Dec 22, 2020 #81,998 Eli79 said: kwani mimi nilitaka basi, nguvu ya damu tu dota! Click to expand... Siyo mbaya lakini daddy maana daughter anaweza akafanana na daddy wake na bado akawa mzuri kwa namna ya kike
Eli79 said: kwani mimi nilitaka basi, nguvu ya damu tu dota! Click to expand... Siyo mbaya lakini daddy maana daughter anaweza akafanana na daddy wake na bado akawa mzuri kwa namna ya kike
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Dec 22, 2020 #81,999 Chakorii said: Mbona kama inakuja inakata..ebu ngoja taratibu kabisa nitamjua Click to expand... Nna imani umeshatajiwa
Chakorii said: Mbona kama inakuja inakata..ebu ngoja taratibu kabisa nitamjua Click to expand... Nna imani umeshatajiwa
Jadda JF-Expert Member Joined May 20, 2019 Posts 31,541 Reaction score 88,493 Dec 22, 2020 #82,000 Nuzulati said: Hahaha zako na za Karma ninazo Click to expand... Duuh na wewe alikutumia