Acha kudanganya umma, yani we kweli na urembo wote huo hivi unajua wenye sura mbov kweliHahaha mkuu unafikiri nakutania? Mie baba yangu siyo mzuri na ndiyo nimefanana naye copy hivyo mie siyo pisi kali wala sina uzuri wowote!
Msukuma wa Ntuzu Bariadi-SimiyuMsukuma gani mbahili hivi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi anadimpozi ee..ngoja nikamwangalie tena
ShunieZawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji [emoji847]
Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu [emoji1787][emoji1787] View attachment 1656723
Hivi ni kini che wafanye wandee wakishambaa watana kwei, ambu ni rangi yenyu ye mng'alo. Moyo wangu uita kasi kwei shunie...nkunda siku ing'we nkunkhe zawadi spesho.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Uzaanza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mimi natamani mwanaume mzuri ili nisije kuharibu watoto kabisa[emoji23][emoji23]
Ila sitaki mzuri Sana kama huyoo mwee[emoji1787]
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]From Mbeya with love
Kabisaaa dea, rangi adimu na ya dhahabu acha turinge tyuuuh.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mwee usiniambie na wewe picha zangu zimeshakufikia [emoji2296][emoji2296]Acha kudanganya umma, yani we kweli na urembo wote huo hivi unajua wenye sura mbov kweli
AsanteKaribu ngoro......[emoji3]
Yaan cc unajua kunifurahisha,Hakuna Cha rangi Wala nini[emoji23][emoji23][emoji23]
Anayedhani ni rangi basi naye ajichubue aone Kama mtafanana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2098]
Wewe ni mnyantuzu ElyMsukuma wa Ntuzu Bariadi-Simiyu
Vipi kwema lakini mkuu
Yani sijaamini una mguu mzuri kweli, kamwili organised kweli ..Your an amazing woman indeed sema tu ukorofi uache mpenz πMwee usiniambie na wewe picha zangu zimeshakufikia [emoji2296][emoji2296]
JF jamani daah [emoji3064][emoji3064]
Duuh kipare ndiyo kirahisi hivyo? Maana hapo naona ni kiswahili tena kinachoeleweka kabisa hicho?Hivi ni kini che wafanye wandee wakishambaa watana kwei, ambu ni rangi yenyu ye mng'alo. Moyo wangu uita kasi kwei shunie...nkunda siku ing'we nkunkhe zawadi spesho.
Ndiyo mimi ni mnyantuzu KarmaWewe ni mnyantuzu Ely
Kipare hikoDuuh kipare ndiyo kirahisi hivyo? Maana hapo naona ni kiswahili tena kinachoeleweka kabisa hicho?
Ndio mana anavaa mask mana wapinzan wangekua wanamdharau sanaAi am so eksaitedi kwa kweli[emoji7][emoji120]
Mungu fundi Sana[emoji116][emoji119]View attachment 1655630View attachment 1655631View attachment 1655632
Habari ya siku nyingi darling.usipotee sana sasa na wewe loohZawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji [emoji847]
Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu [emoji1787][emoji1787] View attachment 1656723
Kumbe wewe ni urewedii ja henyuπππKipare hiko