Selfika na JF: Snap it. Show it

Zawadi yako ya birthday hiyo mama mchungaji


Habari ziwafikie wale wanaohangaika kutafuta picha yangu unataka picha yangu niombe mwenyewe sio kuhangaika kuomba omba picha yangu
View attachment 1656723
Ahsante sana mama Muinjili; umenifanya nikumbuke nilikwambia nitakuja tukanunue nywele amazing.

Hahhhah haki umenichekesha ujue, kwa hiyo kukuomba picha wenyewe wanaogopa au? Kwa kweli waje tu front wakuombe mwenyewe sio kupitia kwa watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…