Happy birthday
Heaven Sent
Mdada mwenye hekima, busara, upole, ukarimu,
Jah blec u ever, uishi miaka mingi km number zako za simu.
Jah akufanikishie Yale yote uliyoshindwa kutimiza, kwa uwezo wake yakatimie.
Akuongezee baraka na fanaka teke, upate kushuhudia na kuona uwezo wake yeye muumba wa mbingu na ardhi.
Enjoy moaaah dea cc.
View attachment 1656378