Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,438
- 52,927
Sawa kipenzi nakutumia kadi ya mualiko sasa hivi mpenziSafi tualikane mpendwa
Sawa kipenzi nakutumia kadi ya mualiko sasa hivi mpenziSafi tualikane mpendwa
Nakwambia....Alaa kumbe na wewe ni mmoja wa wale ndugu zetu wanaotakiwa wakahesabiwe mwezi huu? Nikajua wewe ni mtu wa chuga?
Anyway mbona hujaenda sasa? Nini mbaya?
Shukrani haniSawa kipenzi nakutumia kadi ya mualiko sasa hivi mpenzi
Woooow [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Iceberg9 upo au nipike wali kidogo tu??[emoji846][emoji846]View attachment 1655988View attachment 1655989
Nipo mrembo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hebu fanya maajabu nije kujimwaimwai, njaa inaniuma hapa,nipikie mama siunajua huwa sibakizi chakula chako mama maana msosi wako ni mtamu mtamu, hayo. Naona madiko yapo tayari na huku njaa imezidi,Iceberg9 upo au nipike wali kidogo tu??[emoji846][emoji846]View attachment 1655988View attachment 1655989
Beef masara mama usiache [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]Iceberg9 upo au nipike wali kidogo tu??[emoji846][emoji846]View attachment 1655988View attachment 1655989
Na wali safi mama[emoji8]Iceberg9 upo au nipike wali kidogo tu??[emoji846][emoji846]View attachment 1655988View attachment 1655989
Wewe unajua kupika lakini au fujo tu [emoji23][emoji23]Woooow [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Jiandae tukanywe mbege moshi [emoji23][emoji23][emoji23] shimboni maeShukrani hani
Oohh ukirudi Kasalimie sanaHahaha
Haka ni kengine tu ka huku Dodoma [emoji23][emoji23]
Wale wako home,bado sijarudi.
Nenda kwenye ule uzi wa RRONDO wa road trips kuna watu kadhaa wako na road trips za kwenda kaskazini tarehe hizi waweza kupata lift! Au utakuwa umeshachelewa sana?Nakwambia....
Nimekosa lift mwenzio. [emoji3061][emoji3061] Mpaka mwakani tena Inshallah!!
Kwema kabisa mkuuSijambo mkubwa kwema
SwadactaKwema kabisa mkuu