Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]chizi kabisa wewe ujue.hebu nipe mwongozo basi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dea uwahi mapema kesho j3 pale mlangoni, upewe mkopo, hiyo picha iwe ndani ya bahasha ya kakhi,
Unakosaje [emoji383]kizembee, na uchumi uko kiganjan kwako lol.
 
Aaaah wee yachanganye wap wee, now una slay tyuuuh, wengne tunapamban na assignments. Duuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mimi napambana kukamilisha mambo mengi,wanatuzingua Hawa..sioni dalili ya kuondoka haraka.

Hata sisi tulipambama nazo miaka na miaka hadi tunazeekea shule [emoji1787]
 
[emoji2146]
20201215_152727.jpg
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na Mimi napambana kukamilisha mambo mengi,wanatuzingua Hawa..sioni dalili ya kuondoka haraka.

Hata sisi tulipambama nazo miaka na miaka hadi tunazeekea shule [emoji1787]
Daah we acha tyuuuh yaan, bora miaka ikimbie na mie ni graduate wallah.
Ila usjar kuwa mpolee, utakamilisha na utaondoka tyuuuh.
 
Wacha bhana [emoji28][emoji28]kumbe mimi ni pisi kali ee...
Karma Hebu acha mambo ya ajabu mweke nkamu wako picha huko...
Hataki hizi za kina shotiiz amezizoea[emoji12][emoji12]
Unaulizia makofi kituo cha polisi mama?
Pisi kali mpo kibao humu nashangaa eti nkamu anataka picha zetu wenye maumbo yetu kama mitungi ya gesi!
 
Back
Top Bottom