BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,838
- 20,259
Picha ya kitambi plz.. Tushauri unavopaswa kuivaa@Karma ninunulie nami hili gauni, ila sasa na hiki kitambi itakuwa kama nimevaa kanzu[emoji2297][emoji2297]
Basi nimeghairi.
Picha ya kitambi plz.. Tushauri unavopaswa kuivaa@Karma ninunulie nami hili gauni, ila sasa na hiki kitambi itakuwa kama nimevaa kanzu[emoji2297][emoji2297]
Basi nimeghairi.
Mtafute kaka yako.Mwee pampula si alisema yuko twiraaa?
Sasa mi nampatia wapi huko twiraaa?
[emoji28][emoji28][emoji28] bongo movie
Hamjatukosea kituHivi weusi tuliwakosea nini?[emoji24][emoji24]
Aaaaalright momMtafute kaka yako.
tununu nkamu ulipo...Poa nkamu
Habari yako
Pole Kijana wangu..
Mwenyewe pia notifications ni tatizo.. kuna wakati napata kama hivi.. wakati mwingine sipati..
Uko poa? Miss you..
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu Mwanangu wa Ujanani huyu..Hivi ma mkubwa umemtambulisha mwanao kwenye huu ukoo kweli? Mbona anajitenga?
Mwee ila na mama naye angekuwa anaongea na mimi kama hivi! Wallahi ningejidai!
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji2316]View attachment 1654356