Kutolewa out kumekubaliwa tukijaaliwa uzima na afya Chief.
Sio muamsho😅😅😅ile ilikuwa changamsha genge tu🤪🤪
Tatizo langu sijifichagi nikimpenda mtu ni lazima ajue.lakini akinizingua huwa nabadilika mazima no turning back.
Sasa sijui hii ndo sifa kuu ya GEMINI (itabidi nifuatilie)ama ni nini maana huwa najishangaaga kwakweli 😁
So mwamba nitaendelea kummwagia malovee😁😁😁akizingua naenda kuota sehemu nyingine waaaaaahhhiiiii😆😆