Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji120] mtumishi wa Bwana.

Ukikaribia kusafiri tena niambie niliweka kwenye maombi..sawa ee
Nashukuru sana kwa upendo wako. Inaonekana shemeji anafaidi sana ukarimu wako. Bila shaka nitakujuza ilinipate baraka.
 

Tuendelee tu kuitana mkuu, au sio mzee!
 
Karibu wakati wowote...
Sina uhakika kama anafaidi mkuu maana sijawahi ambiwa [emoji22][emoji22].

Hakuna shida sote ni ndugu
Inawezekana ule msemo nabii hakubaliki kwao unakuhusu. For my observations uko peace, friendly, charming and caring. Unajua wanaume sometimes tunasemea moyoni. Utashangaa vi surprise vya hapa na pale tu.

Barikiwa sana.
 
Inawezekana ule msemo nabii hakubaliki kwao unakuhusu. For my observations uko peace, friendly, charming and caring. Unajua wanaume sometimes tunasemea moyoni. Utashangaa vi surprise vya hapa na pale tu.

Barikiwa sana.
Ohoooo nimejikuta moyo unamelt kwa furaha...kumbe watu mnasoma watu kimya kimya ee loh..

Thanks for the compliment ndugu yangu
😘😘😘😘

Siku yangu inaendelea kushine👏👏🧚‍♀️🧚‍♀️

Ila master kauzu sana huyu😆
 
You deserve it. Siku nitaomba nikutoe out uchague kiwanja kizuri ili niikujue vyema.

Nasikiaga eti ni ustadhi yule wa salawili ya vipedo 😄😄😄😄. Hamna namna zaidi ya kuendelea kumuonyesha upend wa kweli.
 
Hahahahaha.......Aiseeeeee!!

Tumbo la uzazi linageuka nini?

Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jomoneeeeeh wee me hyo style ni mwisho hakna cha kuidondokea wala popo kanyea anga,
Chezea doggie weyeeee, tumbo la uzazi linapanda kifuani ooooh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…