Selfika na JF: Snap it. Show it

Unapenda kuvaa miwani??aise..binafsi sipendi kabisa aiseh na hapa nilipo tangu nimetibiwa macho tiba nyingine iliyobaki ni miwani lkni sijion huko kabisa aiseh .hongera
Siipendi ila sina namna.
Macho yangu yalishashindikana na sioni kabisa na yananiuma.
Hapa Nilikuwa nimesusa miezi kadhaa sijaivaa ila shida ninayoipata acha kabisa.
 
Pole
Mungu akutie nguvu.
Mungu atafanya njia mahala pasipo na njia na ukiamini itakuwa hivyo.
 
Nimecheka..
Hao wana maneno sisi tunasubiri. Usirudie tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
wee mam nae mmmh, afu picha yako umeniuza had leo nasubir, km vle wanadam tunavomsubir masiha.
Naogop kukuanz usije kunicharua buree, ila nakuona tyuuuh.
Ila nlkumic mno, af huyo muongo hat sijamsuta,
Mie jomoneeeeeeh mpole, mkmya, na sio mswahili.
 
..mpare tena!...yaani kabisa ni mpare? Nilitaka kuongea kilugha lakini basi mkuu.
ina maan humu ndan wa2 wote mna nongwa kuhus me kuwa mke wa m2?
Jomoneeeh huyo mpare kwangu amefika, amezama, amekufa, ameoza, uwiiiiiiii chezea mie toto la kingoni,
Afu ukute n mwanao sasa, nshakua ndugu na nyiee huko Chuga.
Hallow mbna pambeeeeh
Hebu nifundishe kilugha kwan, ili niwe namnenea kwa lugha, kunako 6 ×6.
Waleleeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh
 
Ni nini unapitia Doon !!mbona mwandiko wako wako unaonyesha unauchungu Sana?tafadhali ikikupendeza share nas
 
Wacha bhana
 
wacha bhana


Wacha tyuuuuuh dea, mapenzi matamu hiviii?
halali watu wajiue, mwenzio saiv nalala na khanga moko,
Uwiiiiiih usku mzima n segere na sebene,
Hallow huyu mpare kajua kunimalizaaaaaaaaaaah.
Love dea uje umuone shemejio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…