Selfika na JF: Snap it. Show it

Dgo umezama Sana eeh nakushauri nenda 50/50 sisi wanaume sio Kama unavodhani ili in case likija la kutokea usiyumbe na kwenye masomo
Ahsanteeeeeh broooh, nimekuelewa vizuri kabisaaah, .Jah akuzidishie hekima na busara zaidi, ili nipate kufaidika.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Mdogo wangu[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7] usinivimbishe bichwa basiiii....
Unadhan utan baaas, wee hiyo picha ya kuombea mkopo bank kabisaaa.
 
Ndiyo. Njoo hapa Bupandagila High School utanikuta napiga chaki mkuu.

Nzūgū dūlye magugulu nkoyi [emoji16][emoji16][emoji16]
Kumbe upo Bupandagila nkoi!

Hayo maeneo nayafahamu kuanzia mkula, sapiwi, igegu, dutwa, mwakibuga, nyakabindi, diana, oldmaswa hadi somanda huko.

Sawa nkoi ntakuja kula amagugulu ga mandege na nduhlu[emoji3][emoji3]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nmecheka nusu nife wallah,. Kumbe na wee n mpana hivi? Hapan skuwezi mie lol.
Jaman hata sijui ni nani aliyeandika hapo huwezi amini
 
Kumbe upo Bupandagila nkoi!

Hayo maeneo nayafahamu kuanzia mkula, sapiwi, igegu, dutwa, mwakibuga, nyakabindi, diana, oldmaswa hadi somanda huko.

Sawa nkoi ntakuja kula amagugulu ga mandege na nduhlu[emoji3][emoji3]
Kakudanganya huyo..
 
Mkuu mbona unapenda kuwa mwanamke ilihali wewe ni mwanaume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…