financial services
JF-Expert Member
- May 17, 2017
- 18,190
- 43,503
Poa mkuu, habari ya jpili
Poa mkuu, habari ya jpili
Habari za jumapili njema/salama kabisa mkuuPoa mkuu, habari ya jpili
Tobaa 🙄🙄
Hee unakufanye na utamu sasa, pisi kali zote huko hujaziona??Habari za jumapili njema/salama kabisa mkuu
Nipo naendelea kufa na utamu wangu kama muwa[emoji1]
Karibu
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38]Weee usiniambie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mwenzio yupo leba we unamuita hapa[emoji23]
Umependeza,Pandisha kidogo basi mpaka kwenye tako.
Poa Habari yako
Hehe nini pandisha juu bana.
Huyu msukuma nyasi anayotumia inamuharibu kichwaTobaa 🙄🙄
Hehe nini pandisha juu bana.
[emoji23][emoji23]kwamba mimi nina maneno matamu? Nimeona juu huko anasema eti mafurushi yanakoma[emoji23][emoji23]Makiseo hebu ukuje darling umuwish msukuma leo nae anasabidei eti, angalau wewe una maneno matamu matamu.
Sijui kala wadudu gani leo maana kwenye matunda alihama.
Sent using Jamii Forums mobile app
makibuyu....diiihWee huyo n shemelaaaaaah ako, plz ustake kuniibia hapa,
Sumaku yangu hiyo. [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
Yaani nyasi zingine ni sumu kabisa😀😀Huyu msukuma nyasi anayotumia inamuharibu kichwa
@SHIMBA YA BUYENZEMakiseo hebu ukuje darling umuwish msukuma leo nae anasabidei eti, angalau wewe una maneno matamu matamu.
Sijui kala wadudu gani leo maana kwenye matunda alihama.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tujitahidi tumshauri aache maana imemzidi nguvu 😆😆Yaani nyasi zingine ni sumu kabisa😀😀
Habari yangu njema/salama kabisa dearPoa Habari yako
Pisi kali zipo ila sina hela ndugu yanguHee unakufanye na utamu sasa, pisi kali zote huko hujaziona??