Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,421
- 176,356

KweliMmmmhh
Mimi ni mpiga picha wa haoMkuu wewe ni huyo aliyevaa sketi ya kaniki?
Kinaonekana tu kivuli changu maana mimi ndo mpiga picha.
Hiyo ni shifon ya mtelezo ya kawaida tu .Nilikuwa sijui kama kaniki zinashonwa nguo,
Lakin imemtoa dada yako.
Nifikishie salam zangu za pongezi.
Naelewa kuwa hii ni siku pia ya majonzi kwako. Pole sana.Thanks Karma. Huwa sisherehekeagi japo huwa nalazimishwa lazimishwa. Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuufikia uhenga rasmi. Miaka 68 si haba![]()




Oh!!kumbeKinaonekana tu kivuli changu maana mimi ndo mpiga picha.
Shikamoo baba SYB.Thanks Karma. Huwa sisherehekeagi japo huwa nalazimishwa lazimishwa. Namshukuru Mungu kwa kunipa nafasi ya kuufikia uhenga rasmi. Miaka 68 si haba![]()
😅😅sikipendi hicho chama loh...unaendeleaje lakini babaKidogo niropoke pipoooooooziiii![]()
😆😆😆watu wanataka mtu Ukiwa mtu mzima basi uwe na mambo ya kikonzee 😅Mtoto wangu wa kwanza ana miaka 42 mkuu. Wewe nipe shikamoo tu basi...
Wapi mtakatifu na kisketi chake cheusi safiiii mama mchungaji ulegi upo sana t💋