Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,790
- 182,962
Si ndio mliniambia hivyo na baba yako. Mniwache.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Maaamaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Si ndio mliniambia hivyo na baba yako. Mniwache.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Maaamaaa
Kazi kweli kweliAlivyokuwa anamsifia ex wake sasa. Naona he was looking for his ex in those girls
Hebu pambana kama yule ndugu yako.Bado nanenepesha trako kwanza ndiyo nipost; au unataka nipost huu mgongo ulioungana na tumbo na kifua?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kingine...View attachment 1648104
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwani yuko wapi mamako? Hata sijamwona leo, huko aliko Mungu amuangazie tu.
Anajua mwenyewe aliko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona yupo jamani baba kwani unaangalia wapi
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
[emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji57][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ndiyo unamzidisha hasira ili atununie wote sasa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Nyie si lenu moja.[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Baba ndiyo alikwambia hivyo siyo mie jamani
Hapo anajikosha tu.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Basi ndiyo maana
Ndio.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]
Ndiyo umeninunia na mie jamani
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
Huku kwema sana tu mkuuHayaga nkoyi. Kwema huko?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha....nimeula na kuunywa kabisa bhageshi.Īkūbī lya būnani [emoji39][emoji39][emoji39]
Umenikumbusha nyumbani bageshi. Yaani mlenda huo ukitiwa karanga (gīsū) na tumaziwa tubichi kidogo uwiii....