Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Wacha bwana
Wacha bwana
DuuuuuuhMmh yaani jamaa anaangalia kile kiclip "Mimi ndiyo HS ambaye hukunichagua blah blah"; akaangua bonge la cheko afu eti "sorry ila nashukuru sikukuchagua, sijapenda mwonekano wako".
Duuuuuuh
Aise tangu nianze kuangalia hiko kipindi sijawahi kuona mtu kashushuliwa namna hiyo huyo kavunja rekodi wallahi
Daddy mbona zako huwekiNadhani kazi yangu inajulikana, natoa likes kwenye picha!
Hello,Saturday is for some pics![]()




Livu me aloni.Daddy mbona zako huweki
Leo mtoko wapi maana mama naona hana mpango
Kwani yuko wapi mamako? Hata sijamwona leo, huko aliko Mungu amuangazie tu.Daddy mbona zako huweki
Leo mtoko wapi maana mama naona hana mpango
Nani kakuuliza?Nadhani kazi yangu inajulikana, natoa likes kwenye picha!
WanyakyusaHello,Saturday is for some pics![]()



Babe hapa umenishushua, hakyanani tena

Si nina hasira na wewe.Babe hapa umenishushua, hakyanani tena![]()
Basi huyo ndiyo ana matatizoHuyo tu aliyeenda naye date aliishia kusema sio type yake.
Bado nanenepesha trako kwanza ndiyo nipost; au unataka nipost huu mgongo ulioungana na tumbo na kifua?
Kwani yuko wapi mamako? Hata sijamwona leo, huko aliko Mungu amuangazie tu.




Basi huyo ndiyo ana matatizo
Itakuwa alitaka tu kuendeshwa kwenye lile V8
Kingine...Si nina hasira na wewe.
Hebu weka picha kwanza labda nitakusamehe.
Sent using Jamii Forums mobile app