Ndo mana ndoa nyingi siku hizi zinavunjika kwakwuwa watu wanafunga ndoa na maumbo
Kama kuna unaemjua huko anataka kutangaza uchumba kipande hii kwa kingetokea cha umbo,,mwambie hapana nashukuru
Jirani yangu usiwe na papara baba wali ni lazima ule afe beki afe kipa.