Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Nijikute tu[emoji85][emoji85][emoji85]
Hivi ushaweka picha au bado unajifanya janjaro?
Kwendraaa pampula wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Si ndio hapo sasa mie najiropokeaga tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona mama aliniambia niache nimeshaacha
[emoji443][emoji443][emoji443][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji109][emoji109]View attachment 1645191
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mambo ya ndizi ahsanteeee sasa hapo umenikumbusha moshi ngoja nikale machalari kipindi hichi cha sikukuu kule moshi, ndizi utumbo mwingiiiii nimetamani ika hujaweka parachichi sasa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39],
Tunajikumbushia kidogo [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787], mimi wa huko huko mankaMtuache na tambo zetu [emoji16][emoji16][emoji18]
Tubariki watoto wa Tanzania...[emoji443][emoji443][emoji443][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
Mungu Ibariki Tanzania
Wabariki viongozi wake
Hekima umoja na amani
Mungu Ibariki
Tanzania na watu wake....
[emoji443][emoji443][emoji443][emoji443][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
View attachment 1645204
Mkiwa mtu tatu hii kitu itatembea dakika 5 chacheLizzy upo? Welcome to this wonderful meeting hapa angalau leo ule ushibe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1645229
Maparachichi yanatia uvivu kununua hovyo huku mjini maana bei si haba alafu kukutana na mabaya rahisi sana 😬😬 Mpaka niende sokoni nikachague....[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Mambo ya ndizi ahsanteeee sasa hapo umenikumbusha moshi ngoja nikale machalari kipindi hichi cha sikukuu kule moshi, ndizi utumbo mwingiiiii nimetamani ika hujaweka parachichi sasa[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39][emoji39],
😆😆😆 mwenzio nilikuwa kazini ila you are right....panafaa sana kwa mapumziko kama yale unayopanga kuyaendea Zenji!!🙂🙂Huku Lizzy ni kwa moto sana, haya mazingira yanaruhusu uwepo wa upendo mkubwa na kwa michezo ya wakubwa pia, mkitulia huku na wine zenu, nyama choma, mtajiona mpo dunia nyingine kuko tulivu mno inaonyesha
🤣🤣🤣🤣 kuna dalili za mtu kuzimia baada ya hiyo meeting!! Mi ntakuwa pembeni nachukua minutes 😁🙈🙈🙈Lizzy upo? Welcome to this wonderful meeting hapa angalau leo ule ushibe [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1645229
Shalom Tanzania[emoji109][emoji109]View attachment 1645191
Inipiteje?Ulitaka niweke afu ikupite ili uje ugome kutoka JF?
Hebu huko![emoji109][emoji109]View attachment 1645191
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]Kwendraaa pampula wewe
Hivi vinukta vyako sijui utaviacha lini baba..🤪....
Yeah!!..nilimaliza ila sikutosheka nikaomba na nchembo.Oooh aisee kwahiyo mkuu ulipiga ile nguna yote ukaomba na nchembo?? Kumbe si haba uko vizuri[emoji3][emoji3] mi mzima Ely za Rock city?