[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]si bora mjumbe Shem..Usije kuwa mjumbe tu shem[emoji23][emoji23][emoji23]
Hivi ndio unakandamiza kwa mdogo wako eti![emoji23] Nilikuwa mwenyewe, kwanza Dom kuna vumbi sana[emoji23][emoji23][emoji23]Mmmmmmmh!!!! Mnasemaga sasa? Hadi mkutwe na Ushahidi.. Muanze kusingizia marafiki zenu.. na mnavyojua kusaidiana kwenye majanga kama haya[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
We si umekuja Dodoma kimya kimya na kuondoka!! Mi siji.Msikae kikao kwanza, njoo tuyamalize wawili babe!!
Khaaah!Mtu na dadake mkiamua hata talaka nitapewa! Sasa naanza ile wanaita divide and rule!
Mmmmmmmmmmh!! Nitajua tu.Nilikuwa man alone! Niwe na nani sasa!!
Eti Vumbii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi ndio unakandamiza kwa mdogo wako eti![emoji23] Nilikuwa mwenyewe, kwanza Dom kuna vumbi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Vinaitwa emoji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa kupeana back up hawajambo hawa.Mmmmmmmh!!!! Mnasemaga sasa? Hadi mkutwe na Ushahidi.. Muanze kusingizia marafiki zenu.. na mnavyojua kusaidiana kwenye majanga kama haya[emoji57]
Sent using Jamii Forums mobile app
Teh teh[emoji23][emoji23][emoji23]Vyeupe dawa kazi wanayo
Haya mpendwa usijali nimerudi rudi now [emoji4]
[emoji16][emoji16]Wamefanyaje kwani?
Vumbi linahusikaje sasa hapa?Hivi ndio unakandamiza kwa mdogo wako eti![emoji23] Nilikuwa mwenyewe, kwanza Dom kuna vumbi sana[emoji23][emoji23][emoji23]
MarahabaaaaaWee mwanamke upo.. Nakusalimia
Si na huko ulipo kuna Vumbi?[emoji23] Sidhani kama itakupa shida yoyote....huji ili iwe mara moja kwa mwaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2307]. Kwa hili hata Makiseo atanihurumia na kunisaidia kuomba msamaha.
[emoji23][emoji23]Haahahah hapaana namaanisha trevor hazard...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Eti Vumbii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimecheka mno..Usiku mwema Shem...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mkuuNilidhani na wewe ushakuwa wa huku tena, anyway karibu tena Dodoma.
Haki mwenyewe nimechekaaaaa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyu mimi kanishinda tabia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Si mpaka akuhurumie, maana sio kwa mambo meusi hayo unayonifanyia....huji ili iwe mara moja kwa mwaka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2307]. Kwa hili hata Makiseo atanihurumia na kunisaidia kuomba msamaha.