Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tom jamani, basi ni hips na trako
Yewoooomi!![emoji2297][emoji2297][emoji2297]Seat ya mbele kabisaTuma kwanza muamala
Hivi lini mtaacha kunisingizia mambo mazito[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Nani zaidi yako?
Hivi lini mtaacha kunisingizia mambo mazito[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Na upole wote huu[emoji2297][emoji2297][emoji2297]Ukiacha ukorofi
PumbavuuuuuuuππππππTeh!!..naomba zawadi ya kukufanya ucheke kiboya sana ujue.
Vipi uhitaji mbolea za kurutubisha hizo mboga na kuzifanya ziendelee kuvutia hasa pale mtazamani/mkulima anapoziangalia?
Sent from my SM-G955N using JamiiForums mobile app
Huo uvumilivu uutoe wapiπ. Mwenyewe huwezi...
We subiri ndio utajua kama naweza au la.Huo uvumilivu uutoe wapi[emoji23]. Mwenyewe huwezi...
Mweeeeeeeeh
Nimeona mambo yake...Nimemuuiza swali kule juu amelikwepa..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Umeona lakini makusudi ya shemeji yako? Na sijui alikuwa na nani huyo alokimbia nae mbio mbio[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali gani shem wangu, mbona sijaliona!
Subiria hapo hapo ππTuma moja kwanza itanishawishi kuja paande hizo saa hii...
ππππ Hiyo sio adhabu ujuwe, hiyo ni dhulma na dhambi hata Mungu hapendi.
Kumbeeee????
Juu kule Shem.. nilikuuliza jana..Swali gani shem wangu, mbona sijaliona!